Ticker

6/recent/ticker-posts

Chama atua Dar ?, tetesi za usajili Ligi Kuu TanzaniaDirisha la usajili limefunguliwa na TFF na kutarajiwa kufungwa Januari 15, 2022, katika kipindi hiki kila timu ina haha kuhakikisha inajiweka sawa kwaajili ya kutimiza malengo waliyojiwekea.

Msimbazi: Huko Simba kipande cha video kimeonekana kuenea kwenye mitandao ya kijamii kikimuonesha aliyewahi kuwa nyota wa Simba SC akiwasili Tanzania tayari kwa kusaini kandarasi mpya na waajiri wake hao wa zamani.

Kuangalia Video bofya HAPA 

Aliyekuwa kipa wa Coastal Union, Aboubakar Abbas yupo mbioni kujiunga na klabu ya Mbeya Kwanza FC.

Mchezaji Omary Ally Marungu amejiunga na Hapoel Saba ya nchini Israel akitokea ndani ya klabu ya Mtibwa Sugar,

Salum Abubakar ‘Sure Boy’ ameomba kuvunja kandarasi yake na matajiri wa jiji la Dar, huku Azam FC wakiridhia ombi hilo. Sure Boy amekuwa akihusishwa na kutua katika klabu ya Yanga SC.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments