Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Dada Akodi Bus Zima la Abood Akiwa yeye na Mtoto Wake Pekee

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 

Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo, lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo. Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments