Ticker

6/recent/ticker-posts


 

DJ wa Harmonize Afunguka Tetesi za Kutoka Kimapenzi na Poshy Week Mwenye Umbo Lake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREDj Official wa msanii Harmonize, Dj Seven ni moja ya watu ambao wamekuwa wakihisiwa kuwa kwenye uhusiano na Dada mwenye shape yake mjini, Poshy Queen, na hii imekuja toka siku ya tarehe 4 kwenye tamasha la Komaa Concert lililo andaliwa na E Media, Dj huyo alionekana akiwa ametupia T-shirt yenye picha ya Poshy Queen.

Haijaishia hapo, Dj Seven alitupia tena uzi huo akiwa Kenya weekend iliyopita ambapo msanii Harmonize alifanya show yake nchini humo,na watu wakiendelea kuchimbua kwa ukaribu kupata data zilizo kamili kwenye couple hii mpya mjini.

Wakati wafukunyufu wa mambo wakiendelea kufukunyua story, Dj Seven amekanusha story za yeye kutoka kimapenzi na Poshy huku akidai ni mshkaji wake tu wa muda mrefu, Seven pia amedai amefanya vile kama kusupport brand ya mshikaji wake. Haya amefunguka kwenye Empire ya Efm majibu yakiambatana na vicheko vingi. Mh! patamu hapo.

Sema Dj Seven na Dj Choka hivi vitu vipo damuni,maana Dj seven alikuwa na Linah Sanga hivi karibuni, Linah ana naniino nae

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments