Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Dr Gwajima "Viongozi Wasio Chanja Waachie Ngazi"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito kwa Viongozi ambao hawajapata Chanjo ya Corona hadi sasa kuachia ngazi, akisema hawatetei msimamo wa Serikali kwa kuwa hata Rais amepata chanjo kama mfano kwa wengine.

Amesema Viongozi wasiochanja hawawezi kuwa na hamasa ya kusimamia kampeni ya uchanjaji dhidi ya Virusi vya Corona.

Hadi sasa Tanzania inapambana na wimbi la tatu la Corona huku kukiwa kuna tishio la ujio wa wimbi hatari zaidi wimbi la nne baada ya kigundurika kwa kirusi kipya cha Corona kilichopewa jina Omicron.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments