Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Dulla Makabila "Mpaka Muda Huu Bado Siamini Kama Mke Wangu Ameamua Kuninunulia Zawadi Ya Gari Ya Kifahari"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mpaka Muda Huu Bado Siamini Kama Mke Wangu Ameamua Kuninunulia Zawadi Ya Gari Ya Kifahari 😭😭

Kiukweli Nimefurahi Sana Asante Sana Mke Wangu 😭😭😭

Mke Wangu Kwenye Macho Yao Naweza Kusimama Kama Mwanaume Asiye Na Maana Mbele Ya Msichana Mwenye Mafanikio Kama Wewe....

Lakini Kwenye Moyo Wako Nipo Kama Shujaa Niliyegundua Furaha Ya Kweli Iliyojificha Kwenye Mwili Wa Msichana Mzuri Kama Wewe..

Asante Kwa Zawadi Hii Kwa Siku Hii Ya Leo Kwangu Hii Gari Ni ishara Tosha Kuwa Namiliki Sehemu Maalum Sana Moyoni Mwako Asante Sana Mke Wangu 😭😭🙏🏽

Nakuahidi Nitaitunza Gari Hii Moyoni Mwangu Kwanza Kabda Sijaipeleka Gereji Yeyote bora Hapa Mjini

Asante Kwa Kuniheshimisha Mke Wangu Na Bado Sijabadili Nia Yangu Juu Ya Kukupa Kila Kizuri Unachostahili Kwa Nafasi Yangu Hapa Duniani Nakupenda Sana 🙏🏽😭❤️❤️❤️

✍️ @dullamakabila

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments