Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Dully Sykes Amjibu Harmonize "Umenikosea Sana Uliposema Nimetumwa na WCB Nikuchafue"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREBaada ya Msanii Harmonize kufanya mahojiano na kuzungumza kuhusu Mkongwe kwenye Game ya muziki wa Bongo Fleva @princedullysykes kuhusishwa kutumwa ili kumshtaki kwa kuiba wimbo wake Msanii huyo ametolea ufafanuzi .

Star huyo amefunguka kwenye mahojiano na @millardayo kuhusu tuhuma hizo akieleza kuwa Hajawahi kuwa mtumwa na hawezi kuwa mtumwa mpaka anakufa " Dully Sykes ametumia nafasi hiyo kutolea ufafanuzi kwamba WCB ni familia yake kama familia za wadogo zake wengine kwenye muziki zikiwemo media zote huku akidai hawawezi kumtuma kumdhihaki mtu .

Dully Sykes ameweka wazi kuwa ametumia muda mrefu kujenga Heshima yake na kama kuna mtu anafikiria kuwa yeye anatumwa kumdhihaki mtu atakuwa amemkosea .

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments