Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Edo Kumwembe "Mchezaji Wawa Alionyesha Ustaarabu na Uprofesheno"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


𝐖𝐀𝐖𝐀 𝐀𝐋𝐈𝐎𝐍𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔’𝐏𝐑𝐎𝐅𝐄𝐒𝐇𝐈𝐍𝐎 - 𝐄𝐃𝐎
Katika Mtanange wa Simba dhidi ya KMC iliibuka aintofahamu kati ya Kocha Pablo, Waamuzi na Mchezaji Pascal Wawa aliyezuiliwa na Kocha Pablo asiingie Uwanjani kufuatia Waamuzi kuchanganya Utaratibu wa Mabadiliko.

Legend @edokumwembe anasema Kitendo cha Beki Pascal Wawa kutoonesha uvunjifu wa Nidhamu kwa Kitendo kilichotokea kimedhihirisha ni namna gani amekomaa kisoka (Professional)

Je Unaongeleaje Kitendo kile?

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments