Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Eric Omondi Aigeukia BONGO Flava " Nina Huzuni Moyoni Amapiano Inauwa Bongo Flava"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Reposted from @ericomondi EAST AFRICA I am SAD!!! I Weep for my PEOPLE😥😥😥. Nina Huzuni Moyoni😥. Bongo flava has always been East Africa's PRIDE ila Kwa sasa IMEKUFAA. Kila Tanzania Artist Kwa sasa Anaimba Amapiano. We have lost our CULTURE, Killed our Own!!! Tumekaribisha, tumeiga, tumeichukua Tabia na Mwenendo zake Jirani tukajisahau wenyewe😥😥😥. We are LOSING OUR IDENTITY, OUR PRIDE!!! Naomba ndugu Zangu Wa BONGO Turejee kwa upesi before it's too late!!! Wakenya WAMELALA, Wa Tanzania WAMEJIPOTEZAA. Mungu TUHURUMIE, TUREHEMU🙏🙏😥😥

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments