Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Erick Omondi Awataka Wakenya Kususa Matamasha ya Ali Kiba na Harmonize Sababu ya Waandaaji Kuweka Picha Ndogo za Wasanii wa Kenya Kwenye Tangazo

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mchekeshaji kutoka +254 Kenya @ericomondi amewataka wananchi wa kenya kususia tamasha ambalo limechapisha mabango /posters zenye picha ndogo za wasanii kutoka Kenya huku yakakiwa na picha kubwa za wasanii kutoka Tanzania.


Omondi ambae amejinasibu kama mpambania haki za wasanii wa kenya ameliita tukio hio kama uvunjwaji wa heshima kwa masuper star wa Kenya huku akitoa muda kwa waandaaji wa mabango hayo kurekebisha la sivyo atahakikisha hakuna mtu atakae hudhuri tamasha hilo.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments