Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Filamu Mpya ya Spider Man No Way Home Yawekan Rekodi Hii MPYA Katika Janga Hili la Covid

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Filamu mpya, Spider-Man: No Way Home imevuka matarajio ya box office kwa kuingiza dola milioni 253 kwenye majumba ya sinema 4,336 nchini Marekani katika wiki yake ya kwanza.


Nje ya Marekani filamu hiyo imeingiza dola milioni 334.2 katika nchi 60 na kufanya jumla kuingiza dola milioni $587.2.


Ndio filamu iliyoingiza fedha nyingi zaidi katika zama za janga la COVID-19.


Kabla ya weekend iliyomalizika, hakuna filamu nyingine iliyotoka katika kipindi cha COVID iliyoingiza hata dola milioni 100 katika wiki ya kwanza.


Spider-Man: No Way Home inakuwa filamu ya tatu kuingiza fedha nyingi weekend ya ufunguzi nyuma ya Avengers: Endgame iliyoingiza $1.2b na Avengers: Infinity War iliyoingiza $640m.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments