Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Foby "Hamornize Niachie Jina la JESHI, Hilo Jina Alikufai Sasahivi Jiite Commando"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMsanii wa Bongo Flava, @fobyofficial amemuomba msanii mwenzie, @harmonize_tz amuachie jina la Jeshi akidai kwasasa yeye ndiye linamfaa.

Akifafanua kauli hiyo kwenye Empire ya EFM, Foby amedai si kuwa jina la Jeshi halimfai Harmonize,linamfaa sana ila haliwezi kumfaa kwasasa kama litakavyo mfaa yeye,akidai Harmonize ana timu kubwa inayo msaidia kwenye mbanga zake za muziki,tofauti na yeye ambaye anafanya kila kitu kwenye muziki wake,hicho pekee kinampa sifa ya ukomavu na kuona anastahili kujiita jeshi, Harmonize akijiita Komando sawa,atakuwa mkubwa wa wanajeshi.

Isije ikawa ya Diamond na Bob junior kung'ang'aniana urais wa Masharobaro😁

Je, ni kweli Foby anastahili jina la Jeshi?

By Sajo

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments