Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Fred Vunja Bei "Siwezi Mzungumzia Hamisa Mobetto"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMfanyabiashara Mahili Hapa Tanzania @fred_vunjabei Amezua sitifahau Baada ya Kukataa Kabisa Kuzungumzia Issue yake na Mwanadada Mwenyewe Mvuto Zaidi Hapa Tanzania Hamisa Mobeto Ni Baada ya kutokea sitofahamu Kati Yao juu ya Mahusiano yao ya Kimapenzi.

"Hapa nimekuja kwa Issue Nyingine Siwezi Kuzungumzia hiyo Issue Kwanza Yeye Mwenyewe Alisha maliza Nyie Mnataka Mimi niongee Nini Sasa kuhusu iyo Issue "-Alizungumza Fred vunjabei

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments