Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Gigy Money Hamkubali Harmonize Hata Kidogo "Mimi Namuona wa Kawaida Sana Hata Collabo nae Sijawahi Fikiria"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Video vixen ambae anatambulika kama msanii kwa sasa @gigy_money_og amedai kuwa msanii @harmonize_tz si msanii mkubwa kwake Bali amemzidi na kumpita mafanikio tu.

Gigy amefunguka hayo Akijibu swali kuhusu kufanya kazi na mwanamuziki huyo kutoka KondeGang katika mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni, kwa kudai kuwa mtu hawezi badilisha mtazamo wake, kwani anajua msanii huyo kabla hata hajaanza muziki kutokea record label ya WcB, hivyo ni msanii aliye mpita kwa mafanikio lakini si mkubwa kwake.

Aisha mwanadada huyo ameongeza kuwa bado hajafikiria kufanya kazi yoyote na msanii huyo kwani anamuona ni msanii wa kawaida kwake.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments