Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Grand P Amuonya Mwanaume Anayesemekana Kuwa na Ukaribu na Mpenzi wake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Star wa muziki kutoka nchini Guine Grand P amuonya mwanaume ambaye anashutumiwa kuwa na ukaribu na mpenzi wake


Grand P alinukuliwa akisema kuwa "Kaka yangu Roga Roga nina kuheshimu sana na ninafahamu vyema kua wewe ni raia kutoka Congo na ninawaheshimu sana wakongo lakini chombo unachojaribu kumiliki hakikufai kabisa , kamwe usijaribu ku enjoy na mke wangu lasivyo nitakufanyia kitu ambacho hutokaa usahau katika maisha yako na hii ni onyo tuu asante sana" 🙏 🙏 🙏


Ikumbukwe kua Grand P na mpenzi wake walizungumziwa hivi karibuni kuwa wameachana huku wakionekana katika mitandao ya kijamii wakiwa pamoja na inadhihirisha kuwa Grand P bado anampenda baby wake

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments