Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Haji Manara "Simba Wameibua Mjadala wa Mkataba wa GSM ili Mechi ya Yanga na Simba Isichezwe"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema upande wa Simba umeibua mjadala wa udhamini wa GSM kwenye ligi na kuhusu sakata la kuvaa Logo ya kampuni hiyo ili tu mchezo wa Simba na Yanga wa Decemba 11 usichezwe, usogezwe mbele kwani anajua hawako tayari na wanaogopa kucheza na Yanga.

Amesema huo mkataba ulisaniwa muda mrefu lakini hawakuuzungumzia na wamekuja kuuzungumzia siku tatu kabla ya mechi ili mechi isichezwe na isogezwe mbele.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments