Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Harmonize Kafanya Kazi na Producer Majani? Ameandika Haya

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Huenda mwanamuziki @harmonize_tz amefanikiwa kufanya kazi na producer mkongwe mwenye heshima kubwa kwenye game ya bongofleva P'Funk Majani @majani187 kutoka bongo record.

Hili limekuja kufuatia post yake aliyoShare muda mchache uliopita kwenye insta story yake kwa kuandika ujumbe unao tafsirika kuwa na furaha huku akiweka emoji ya kushukuru huku akimtaja producer huyo.

Ikumbukwe kuwa harmonize amewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mzazi mwenza wa producer huyo #kajalaMasanja.

✍🏾@keviiiy.iam


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments