Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Harmonize Sio wa Mchezo Mchezo..Unaambiwa Anajipanga Kuchora Tattoo Usoni Mwake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Kwenye kujibu swali la mtangazaji @mamybabytz kwenye XXL ya Clouds FM,kutaka kujua kwa mwaka 2021 amechora na kufuta tattoo ngapi,msanii @harmonize_tz amejibu kuwa hakumbuki.

Lakini pia msanii huyo amedai kuhusu tattoo mtu hasijali sana ishu hiyo maana anapenda sana tattoo na yeye ikumbukwe ni mmakonde kujichora ndio fahari yao maana hata bibi yake kajichora hadi uso, na inshallah 2022 atachora tattoo ya usoni.

Tattoo ambayo itakumbukwa zaidi iliyochorwa na kufutwa na msanii huyo kwa mwaka huu,ni kipindi ambacho yupo kwenye penzi zito na Kajala,walichorana na wakafutana

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments