Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Hatimaye Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Libya, Muammar Gaddafi Aruhusiwa Kugombea Urais Libya

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Libya, Muammar Gaddafi, Saif al-Islam Gaddafi’s ameshinda hukumu ya rufaa aliyokata katika Mahakama ya Sebha kuhusu kuondolewa kwenye kinyang’anyiro cha kiti cha urais wa nchi baada ya kutuhumiwa kuwa na rekodi za uhalifu wa kivita.

Mwanasheria wa Saif Gaddafi, Khaled al-Zaydi amesema hukumu hiyo ya jana Disemba 2, 2021 imerejesha matumaini kwa mteja wake kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika hivi karibuni akiwa mgombea wa kiti cha urais.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments