Ticker

6/recent/ticker-posts

Hatimaye ngoma ya #UNACHEZAJE ya diamond waingia kwenye playlist kubwa dunianiBaada ya mkali wa bongofleva Africa na duniani kwa ujumla kuachia ngoma .....ambayo ilionekana kupondwa Sana na wadau wa muziki hapa mjini Tanzania.


Lakin usichokijua ni kwamba ngoma hi # UNACHEZAJE# ndan ya siku moja imefanikiwa kuingia kwenye playlist kubwa ya nyimbo Kali za week Duniani


#UNACHEZAJE by diamondplatnumz has been added to @audiomack Africa verified playlist best of the week


Fact.....ifike mahali tuheshimu kazi zinazofanywa na wasanii.....Tanzania wimbo unapondwa.....but abroad wimbo unakiwasha

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments