Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Huenda Lukumba na WCB Wametupiana Virago...

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Mpiga picha wa CEO wa Wasafi na Msanii @diamondplatnumz Maarafu kama @lukambaofficial ameondoa utambulisho kama mpiga picha wa msanii huyo kwenye ukurasa wa instagram.

Sasa kumekuwa na tetesi hizi za muda mrefu kuwa @lukambaofficial ameondoka katika lebo hiyo na kama unakumbuka hivi karibuni kuliibuka tetesi hizo kuwa mpiga huyo amefungua kampuni yake binafsi. Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments