Ticker

6/recent/ticker-posts

Huwezi Amini Mambo Aliyojitabiria Diamond Katika Wimbo wa Je utanipenda Ndio Yanamtokea Sasa Hivi


Diamond Platnumz alitabiri mambo mengi sana katika Wimbo wake(Je utanipenda). Moja ya vitu alivyotabiri ni Kuhusu uhusiano wake na baadhi ya watu wake wa karibu, kwamba utakuwa katika hali gani miaka kadhaa ijayo?

Baadhi ya aliyotabiri tayari yameshatokea, mfano kumwagwa na Zari, kukosana na Harmonize, n.k, mbali na hayo, mengi zaidi yanaendelea kutokea.

HUU WIMBO UTAMCOST SANA DIAMOND, MAANA KILA ALICHOANDIKA KINAWEZA TOKEA, SIJUI ITAKUWAJE, LET'S WAIT.

"Tanta lala la
Ooh la la la la la
Mmh

Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina
Hanitaki hata Tale

Oooh wale shabiki zangu
Walionisifu kwa maneno matamu
Leo maadui zangu
Ni mitusi tu kwa instagram

Kimwanaa si dada angu
Eti nae hanifahamu
Hata Harmonize nikimpigia
Ananifokea kama Sallam

Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa
Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa
Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa
Kama naiona michambo ya madem wa zamani nlio wapitiaga

Ooh nayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabana
Ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sanaa
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
Aaah
Ndio adui mkubwa wa kesho............"

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments