Huyu Hapa Mrembo wa Haja Aliyejitangaza Kuwa na Virusi vya Ukimwi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPAIkiwa Bado Tuko Na Week Ya Ukimwi Duniani #jicholauswazi Tunae Mda Wetu Kutokea Nchini Kenya @doreen_moraa_moracha Ambae Amejikita Katika Kuieleimisha Jamii Kuhusu Maswala Yahusuyo Vvu/Ukimwi Doreen Ni Binti Aliezaliwa Akiwa Na Maambukiza Na Ameisha Maisha Hayo Toka Akiwa Mtoto Na Sasa Akiwa Ni Binti Mkubwa Kabisa

Hii Inamaana Kua Kuishi Na virusi vya ukimwi Sio Mwisho Wa Maisha Yako Hivyo Kupaswi Kujiona Tofauti Tokana Na Hali Ya kua na Ukimwi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad