Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Huyu Hapa Ndio Mwamba Aliyelala Kitandani Mbeya Akajikuta Asubuhi Ameamkia Masasi Akiwa Juu ya mti

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


SAILI Juma ( 27) mkazi wa mkoa Mbeya ambaye juzi alilala kitandani akiwa nyumbani kwao Mbeya na ghafla akaamkia juu ya mti akiwa wilayani Masasi mkoani Mtwara amelala fofo hatimaye mkazi huyo amesafirishwa kurejea mbeya baada ya kuchangiwa nauli na na huduma zingine na wa mbeya waishio Masasi.

Baadhi ya wakazi wa mbeya ambao wanaishi wilayani Masasi wamesema kuwa wameamua kumsafirishwa kijana huyo baada ya kuguswa na aina ya tukio lililomtokea lakini pia ni mtu wa nyumbani kwao.

Wamesema ni kawaida kusaidiana katika jamii hasa kwa mtu ambaye unatokanae sehemu mmoja hivyo huo ni utamaduni wa wanambeya ambao wanaishi Masasi kusaidiana iwe kwa tukio lolote ile .

Kijana huyo amesema wanawashukuru wanamasasi ambao wamemsaidia kumtelemsha juu ya mti na msaada wote waliompatia na sasa anashukuru kuanza safari ya kurudi kwao mbeya.

Kijana huyo amesafiri na gari ya kampuni ya Sajda inayofanya safari zake kutoka Masasi hadi mbeya kwa nauli ya Sh.45,000.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments