Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Jarida la Forbes limemtaja Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Katika Orodha ya Wanawake Wenye Nguvu Duniani

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Jarida la Forbes limemtaja Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwenye orodha ya Wanawake 100 wenye nguvu duniani akishika nafasi ya 94 huku nafasi 5 za juu zikishikwa na 5. Melinda French Gates 4. Marry Barra 3. Christine Lagarde 2. Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris na namba 1. MacKenzie Scott ambapo orodha hii ya Forbes ya mwaka 2021 inajumuisha pia Marais 19 Ma-CEOs 40.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments