Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Je ni Sahihi Kufanya Mapenzi na Mwenza Kama Majaribio Kabla ya Kuoana na Kufunga ndoa?

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKatika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili.


Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia.

Vijana wengi wamekuwa wakitumia kauli za dhihaka kama (Usiniuzie mbuzi kwenye gunia)


Mara nyingi majaribio kama haya yamekuwa yakifanyika na wakati mwingine ndoa nyingi zimekuwa zikifungwa huku wanandoa walishapata watoto hapo awali.


Wakati mwingine ndoa inawekewa vikwazo kwasababu za kujificha lakini ukweli ni kuwa wanandoa walishashindwana kwenye majaribio.


Je wewe una maoni gani kuhusu tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments