Ticker

6/recent/ticker-posts

Jeshi la Polisi Lamkamata Mmiliki wa Ghorofa Lililoanguka GOBA, Hii Ndio Idadi Kamili Waliofariki


Jeshi la Polisi limemkamata Albert Shoo ambaye ndiye mmiliki wa jengo la ghorofa moja lililoporomoka Goba mkoani Dar es Salaam.

Watu wanne wamefariki dunia na wengine 17 wamejeruhiwa katika ajali hiyo. Waliofariki ni mafundi wawili wanaume na wanawake wawili waliokuwa majirani.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments