Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Jezi Feki Zakamatwa..Watu Wanaoshirikiana na Wenye Viwanda Wakamatwa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Jeshi la polisi nchini limefanya msako na kukamata jezi feki 279 kutoka mikoa mbalimbali huku jezi za Simba zikiongoza

Msemaji wa jeshi la polisi SACP David Misime akizungumza na wanahabari ofisini kwake Dodoma Leo Desemba 16, 2021 amesema tayari watu 15 wanaoshirikiana na wenye viwanda vinavyotengeneza jezi hizo wamekamatwa

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments