Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Job Ndugai "Kuna Siku Nchi Hii Itapigwa Mnada"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema tozo za miamala ya simu zilipitishwa ili nchi iweze kutekeleza miradi yenyewe, badala ya kutegemea mikopo ambayo imekuza deni la Taifa kufikia TZS trilioni 70.

Amesisitiza haiwezekani miaka 60 baada ya uhuru nchi bado iwe ya kutembeza bakuli.

“Kipi bora, sisi Watanzania kuzidi kukopa na madeni au tubanane banana hapahapa tujenge wenyewe bila madeni haya makubwa makubwa yasiyoeleweka, ni lini sisi tutafanya wenyewe and how?

“Tutembeze bakuli, ndiyo heshima kisha tukishakopa tunapiga makofi…, kuna siku nchi itapigwa mnada hii,” Spika wa Bunge, Job Ndugai

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments