Ticker

6/recent/ticker-posts

Joyce Kiria Apata Mpenzi Mpya, Awafungukia Watu Wanao Mponda


Joyce Kiria aeleza kinagaubaga kuhusu mpenzi wake huyo

"Baada ya kusikia maoni yenu ndugu zangu sasa nawaomba mtulie kidogo niendelee na utambulisho wa shemeji yenu kipenzi cha roho ya dada yenu maana ilibidi nipozi kwanza nione mapokezi yenu kwa shemeji yenu, ila mmenitia aibuuuuu ukaribisho gani huo sasa wa mgeni tena shemeji yenu? Mmeniangusha sana 🙌

Anyway…. shem wenu anaitwa Aaron, ni mtanzania mchaga, ana watoto wawili wa kike 14yrs na 6yrs, ni mtalaka, anaishi Uingereza, tunafahamiana zaidi ya miaka 20 iliyopita, ndo shem wenu wa kwanza, hapa ni mpira nimerudisha kwa kipa 😜

mimi sasa nina watoto watano, huyu mtoto mkubwa, watoto wangu wawili, na wakwake wawili 😜

Acha Kazi Iendelee" ameandika Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji na mwanaharakati maarufu

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments