Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Jurgen Klopp Awekwa Kati Kwa Kuidharau AFCON Kwa Kudai ni Mashindano Modogo, Afuta Kauli

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKuelekea kwenye michuano ya Afcon Mwezi January Meneja wa Timu ya Taifa ya Senegal Aliou Cisse amefunguka kuhusu maoni ya Jurgen Klopp kuyataja mashindano ya Afcon kuwa ni 'mashindano madogo':

"Anadhani yeye ni nani? Ninaisimamia Senegal na wachezaji wangu wanacheza na Klopp huko Liverpool.

Ninaiheshimu Liverpool lakini sio Klopp ambaye anahujumu matukio ya soka ya Afrika. Yupo hapo alipo kwa sababu ya wanasoka wa Kiafrika. Alikuwa akipoteza kila fainali hadi Salah, Mane, Matip walipokuja kumuokoa.” alisema Aliou Cisse .

Klopp alizungumza kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari kabla ya mchezo dhidi ya Fc Porto wa ligi ya mabingwa barani ulaya kabla ya Kutengua kauli hiyo kwa kusema alimaanisha atawakosa Mohamed Salah na Sadio Mane Kutokana mashindano hayo ya AFCON mwezo January .

By goldenpresenter

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments