Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Kamati Kuu CCM Yawaita Pole Pole, Silaa na Gwajima

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKamati Kuu ya Halmashauri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Tanzania, Samia Hassan Suluhu imekutana leo na kujadiliana mambo kadhaa.


Pamoja na mambo mengine kamati hiyo imewaita wanachama na viongozi wake, Jerry Silaa, Josephat Gwajima na Humphrey Polepole.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments