AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
KESI ya jinai iliyopangwa kufunguliwa dhidi ya aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, imetinga kwa Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Taarifa zilizothibitishwa na wakili wa muombaji, Hekima Mwasipu zinasema, uamuzi wa kulipeleka suala hilo kwa Jaji Mfawidhi, umetokana na hatua ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, kugoma kuirejesha tena kesi hiyo mahakamani.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK