Ticker

6/recent/ticker-posts

Kumekucha, Maua Sama na ALI KIBA Waungana Kuipinga AMAPIANO " Siwezi Fanya Hata Uje na SUMA JKT na wale makomando wa Miaka 60 ya Uhuru"

 


AliKiba amemuunga mkono mwimbaji Maua Sama katika kuupiga vita kali muziki wa Amapiano, Kiba amekaa upande wa @mauasama ambaye kupitia twitter aliileta hoja hiyo na kuweka msimamo wake kwamba kuimba kwenye biti ya Amapiano inabidi mtayarishaji aje na SUMA JKT na wale makomando wa Miaka 60 ya Uhuru

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments