Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Pole Pole "Kuna Watu Wananichukia Wala Sijali"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Kutoka Kwa Kiongozi Mpinga Wahuni 😂😂@hpolepole :-Wahuni hawana nafasi, makosa tutafanya ni kuhisi wahuni wana nguvu kuliko wananchi na Mamlaka yao. Jukumu la watu wema na waadilifu ni kuwadhibiti wahuni popote pale walipo, tusipowadhibiti wahuni maumivu yake ni nyakati.

Inawezekana sana. Tuchochee moto kwa kuni mbichi.

NB: Kuna watu wananichukia tu kwa mie kusema #kataawahuni mie wala sijali 🤷🏽‍♂️


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments