Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mafanikio ya Album Yampa Wazimu Ali Kiba......

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mafanikio ya ‘Only One King’ yanampa AliKiba jeuri ya kufikiria kuachia album nyingine mwaka 2022. King Kiba amefunguka hayo kupitia twitter leo baada ya kuandika “Thinking of releasing another album 2022!!! ” hii ni baada ya album yake hiyo iliyotoka Oktoba 2021 kuendelea kukamata namba 1 kwenye chart za Boomplay TZ.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments