Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Makubwa..Wananchi Korea Kaskazini Wazuiwa Kucheka na Kufurahi Kwa Muda wa Siku 11

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURESerikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku Wananchi wake kucheka, kunywa pombe na kufanya sherehe yoyote kwa muda wa Siku 11 ikiwa ni maadhimisho ya Miaka 10 tangu kufariki kwa Kim Jong II
-
Kim Jong II alikuwa Rais wa Korea Kaskazini kutoka Mwaka 1994 mpaka 2011 alipofariki kwa Ugonjwa wa Moyo akiwa na miaka 69. Nafasi yake ilichukuliwa na Mtoto wake Kim Jong Un anayeongoza mpaka sasa.

#JamiiForums

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments