Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mama Mzazi wa Mwakinyo Afariki Dunia

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mama mzazi wa Bondia namba moja Tanzania na Afrika, Hassan Mwakinyo anayefahamika kwa jina la Fatuma Hassan Siri amefariki Dunia leo Jumatano, Desemba 22, 2021 Sinza Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua na kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa takribani siku sita akisumbuliwa na uvimbe tumboni.

Pumzika kwa amani Bi Fatuma.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments