Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Maskini Hamisa Mobetto..Rick Ross Apata Mpenzi Mpya Huko Marekeni ni Msanii Wake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper #RickRoss yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper #PrettyVee.
Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika record label yake ya Maybach Music na vyanzo vya habari vya MTO vinasema kuwa Pretty Vee amekuwa akitumia muda mwingi katika jumba kubwa la Rozay lililopo huko Atlanta.

Hivi karibuni rapper huyo alihusishwa kutoka kimapenzi na mrembo kutoka Tanzania #hamisaMobeto, baada ya kuonekana kuwa pamoja wakifurahia maisha huko dubai.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments