Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mchezaji Tajiri Zaidi Asaka Timu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Mchezaji wa zamani wa timu za vijana za Chelsea na Leicester City, Faiq Balkiah (23) anayejulikana zaidi kama Mwanasoka tajiri kupita wote duniani amekuwa akihangaika kupata Klabu mpya baada ya kutoka kwenye klabu ya Maritimo iliyoko Ureno.

Faiq ambaye ni mtoto wa mdogo wake na Sultan Hasnal Balkiah wa Brunei ni mmiliki wa mali zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 20.

Kiungo huyo ambaye ambaye anacheze mpira wa kulipwa katika timu ya taifa ya Brunei sasa amejiunga rasmi na klabu ya Chonburi ya nchini Thailand.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments