Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Metacha Ampiga Chini Meneja Wake, Ahusishwa Kurejea Yanga

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREGolikipa namba moja wa Timu ya Polisi Tanzania, Metacha Mnata amevunja mkataba na aliekuwa meneja wake Jemedari Said.

Tamko hili limekuja wakati huu ambapo metacha anazungumzwa kuhitajika na Yanga ambao wanampoteza Golikipa wao raia wa Mali Diarra anaekwenda kujiunga na Timu yake ya Taifa katika michuano ya AFCON.

Uhusiano wa Meneja huyo na Viongozi wa Yanga kwa siku za hivi karibuni umekuwa sio wa kuridhisha jambo linalowaacha wengi na maswali pengine ili aweze kurudi Yanga kwa urahisi basi golikipa huyo ameona ni vyema aachane na meneja wake.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments