Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Msanii MENINA Baada ya Kufiwa na MUME Wake Arudi Tena Kwenye Muziki..Ajitambulisha Kama Malkia wa Bongo Flava

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu mwanamuziki na muigizaji Menina amerudi tena, na kwasasa akijitambulisha kama Malkia /Queen wa muziki wa bongofleva.

Menina ambae amewahi kupitia mashindano maarufu ya kutafuta vipaji vya kuimba "BongoStar Search" BSS amedai kuwa amegundua kuwa kuna utani mwingi katika tasnia ya muziki hivyo ameamua kurudi rasmi katika game ya muziki wa bongofleva.


Ameandika haya:

"Baada ya kimya cha muda mrefu nimekuwa nikilisoma game lakini nimegundua kuna utani mwingi sana sasa nimeamua kurudi mwenye BONGO FLAVOR yangu mimi ndio QUEEN wa bongo flavor yes I’m the QUEEN safisha njia malkia nipite #nibebe #chahamu #kungwi MS MUSIC nenda subscribe on my yotube Channel ili uwe wa kwanza THE QUEEN IS BACK"

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments