Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Msiba wa Mama Mzazi wa Lulu DIVA Wadhibitisha Kuwa Wasanii wa Kike Wanapendana

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Baada ya Jana Watanzania na Dunia nzima Kufahamishwa kuwa Mama mzazi wa Lulu Diva ameaga Dunia, Watu mbalimbali wameendelea kutoa Pole na Salamu za rambirambi kwa Lulu Diva na Nduguze.

Miongoni mwa watu walioeleza hisia zao juu ya tukio hili ni Nandy, Rosa ree, Wema Sepetu na Shilole, mbali na wasanii hawa, wasanii wengi wakike wameonesha kuguswa na tukio hili. Wasanii wa kike wameonesha upendo wa Mkubwa sana baada kuandika maneno ya kumfariji Rafiki yao kipenzi luludiva. Hii inaonesha Kuwa Wasanii wa kike wanaupendo wa dhati sana, Mwenzao anapopata matatizo basi wanakuwa upande wake na kumfariji.


Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na story nyingi kwamba wasanii wakike hawapendani, lakini kupitia hili nadhani tumethibitisha kwa macho yetu kuwa Wasanii wa kike bado wanaupendo mkubwa sana kwa wenzao.


RIP MAMA YETU.

POLE SANA LULUDIVA.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments