Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mtangazaji Charles Hilary Ateuliwa na Rais Hussein Mwinyi Zanzibar

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi amefanya teuzi tatu hii leo ambapo moja ya teuzi hizo amemteua Mtangazaji na Mwandishi wa Habari wa siku nyingi Tanzania Charles Hilary kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano - IKULU Zanzibar.

Rais Mwinyi amemteua pia Yusuph Majid kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) na amemteua Idrissa Haji kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhaulishaji Ardhi Zanzibar

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments