Ticker

6/recent/ticker-posts

Mtikisiko CCM, wanachama 200 warudisha kadi
WANACHAMA zaidi ya 200 wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kijiji cha Njinjo, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, wamerudisha kadi zao, kwa wanachodai ni kutosikilizwa madai yao na chama na Serikali, kuhusu eneo la ujenzi wa kituo cha afya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Lindi … (endelea).

Aidha, wana CCM hao wamemwomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingilia kati sakata hilo, na kama hakutakuwa na utatuzi, wako tayari kujiunga na vyama vingine vitakavyosikiliza kilio chao.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments