Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mtoto Aliyefariki Dunia Mwaka 2017 Adaiwa Kufufuka

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mtoto Leonard Morisha 11, mkazi wa Kijiji cha Ngemo, wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, aliyefariki dunia katika hospitali ya wilaya ya Geita na kuzikwa Juni 27, 2017, anadaiwa kufufuka baada ya Oktoba 2020 kuonekana wilayani Kahama na wazazi wake wamempata Desemba 12, 2021 akiwa amekatwa mishipa ya ulimi na kupoteza uwezo wa kuongea.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments