Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mungu Hanaga Unafiki Baba Levo Show yake Ilibuma Vibaya Sana...Funzo Kubwa Kwa Wasanii

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Babu tale aliwahi tumia neno “Wapumbavu” akilipeleka kwa Baba Levo, Juma Lokole na Mwijaku. Naamini neno wapumbavu lilimfaa zaidi @officialbabalevo ambaye licha ya kuwa kwenye huu muziki kwa miaka mingi akijua ugumu wake ulivyo, ila bado amekuwa ni mtu wa kucrush sana jitihada za wasanii wenzie.


Amekuwa akicrush shows za @harmonize_tz mara hajazi mara sijui imekuwaje akisahau hata yeye yupo kwenye jahazi hilohilo analolitoboa. Akiamini kwao ni Kigoma basi atapata mapokezi full shangwe ila cha ajabu amekutana na kofi moja kali la uso kwenye hiyo Home Coming,show hata wanakigoma mia hawafiki, na waliofika ni kama hawaelewi aliyepo stejini anafanya nini


Hili ni funzo Mr. Chawa, kuwa silaha unayotumia kumuumizia mwingine kwenye vita ambayo hata wewe unashiriki,inaweza ikatumika kukumaliza pia. Muziki ni kitu kigumu sana, msanii akifanya kitu hata kwa ukubwa mdogo si busara kumcrush na kuona ni jambo rahisi tu. Baba Levo anajikanyaga akipika namba kuwa watu walikuwa mia sita,mara polisi walikuja kuangalia usalama, wakati walikuja kutoa mtu stejini kwa kosa la kuwapigia watu kelele.

Sajomedia

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments