Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Musukuma Awashukia Kama Mwewe Wanaomuonea Kijicho

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Nimemsikiliza Dr.Musukuma kupitia hii video nimejifunza mengi sana.

1. Kumbe ukiwa na PhD unapata visa ya kuzunguka duniani kote. Na usomi wangu wote sikuwahi sikia hili.

2. Kumbe honoris causa inakupa fursa kubwa kuliko PhD ya kukaa darasani

3. Nimejifunza waafrika wengi tuna haiba ya kuvichukia vitu ambavyo tumeshindwa kuvipata. Kupitia video hii Dr. Musukuma ameeleza wazi wazi furaha aliyonayo baada ya yeye sasa kuwa na PhD ambapo awali alionesha chuki za wazi kwa wasomi
 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments