Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mvua kubwa kupiga Dar kuanzia kesho, TMA yatoa tahadhari

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) imetangaza kuwepo kwa mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha katika ukanda wa Pwani kuanzia tarehe 3 Disemba 2021 hadi 5 mwezi huu.


Taarifa ya TMA iliyotolewa mkoani Dar es Salaam imeeleza kuwa licha ya mvua hizo kubwa kumalizika tarehe 5 Disemba 2021, mvua za kawaida zitaendelea hadi mwezi Aprili mwaka 2022.

Kufuatia uwepo wa mvua hizo, TMA imewataka Watanzania wote kuchukua tahadhari hasa kwa mvua zinazoambatana na radi.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments