Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mwanamuziki Barnaba Amjibu Eric Omondi "Bongo FLAVA Ina Nguvu Kuliko Amapiano"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


"Nadhani Bado Bongo Flavor Ina nguvu Sana kuliko Amapino Kingine lazima Watu wajue Amapiano SIO aina Ya muziki Bali kwa lugha Rahisi Ni mixing Za Dj’s wa SouthAfrica WAKIWA Kwenye Gigis zao So haitaweza Kuuwa muziki halisi kama zook Rhumba Rege / Dans Pop Rock NK : kwasababu SIO haina Ya muziki Bali ni vionjo tu katika milindimo ya mziki ✊🏿πŸ’₯πŸ’₯ BONGO FLAVOR BACK 2022 : tena To the maximum Kwa Duania ✊🏿πŸ’₯πŸ’₯''

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments