Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mwanamuziki Ruby Afunguka Uwezekano wa Kurudiana na Kusah

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMsanii wa Bongo Fleva, Ruby amesema suala la kurudiana na mpenzi wake wa zamani, Kusah ni jambo lisilowezekana.

Ruby ambaye alikuwa amejaliwa kupata mtoto mmoja Kusah, alidai kuachana kwao ni kwamba Kusah alikuwa akimpiga mara kwa mara.

"Hizo ni ndoto za Firauni, zishindwe kwa jina la Yesu" Ruby amemjibu shabiki aliyetaka kurudiana na Kusah.

Ikumbukwe kipindi cha mahusiano yao, Ruby na Kusah walifanikiwa kutoa nyimbo mbili pamoja ‘Chelewa na Nadondosha’ na kupata mapokezi makubwa.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments